Pakua Dream League Soccer Yanga Mod 2025 – Bure Kabisa!
Unatafuta mchezo wa mpira unaokupa ladha ya uhalisia na uzalendo kwa timu yako pendwa? Karibu kwenye Dream League Soccer (DLS) Yanga Mod 2025, toleo maalum kwa mashabiki wa Yanga SC! Game hii imeboreshwa kwa ubunifu wa hali ya juu, ikiwa na kikosi halisi cha msimu wa 2024/2025, jezi mpya za nyumbani na ugenini, nembo rasmi ya klabu, pamoja na uwanja wa Benjamin Mkapa wenye mandhari halisi.
Katika toleo hili, utaweza kufurahia uzoefu wa kucheza ligi, vikombe na michuano ya kimataifa ukiwa na wachezaji nyota kama Stephane Aziz Ki, Pacome Zouzoua, Farid Mussa na wengine. Pia, muziki wa background umewekwa kisasa zaidi huku interface ya game ikiwa ya kijanja na ya kitaifa.
PASSWORD NI: 0672237