FTS26 NBC MODE 2026 — DOWNLOAD FREE (Kame ya Tanzania)
Karibu kwenye ukurasa wa kupakua FTS26 NBC MODE 2026. Game hii imetengenezwa kwa ajili ya Android na ina maboresho ya NBC League, muonekano wa Kame ya Tanzania, pamoja na uchezaji ulioimarishwa. Game hii inakuja ikiwa na password 1292 na ukubwa wa 200MB. Hakikisha simu yako ina nafasi ya kutosha kabla ya kupakua.
Sifa za FTS26 NBC MODE 2026
- Teams mpya na kits kamili za NBC.
- Updates zote za mwaka 2026.
- Gameplay imeboreshwa kwa Android.
- Kiswahili support kwenye sehemu mbalimbali.
- Muonekano wa Kame ya Tanzania, wenye uhalisia zaidi.
Maelezo ya Game (Post Malezo)
Game hii ni ya Android pekee, na imejengwa kuendana na matakwa ya wapenzi wa mpira Afrika Mashariki. Imeongezewa transfers, maboresho ya uchezaji, na skins zinazowakilisha tamaduni za Tanzania. Password ya kufungua game ni 1292, na ukubwa wa faili ni 200MB. Kwa mara ya kwanza kupakua, utahitajika kupitia ukurasa wa matangazo (kwa uwazi). Baada ya hapo unaweza kupakua. Lakini ukirudi tena baada ya muda (dakika 30), mfumo utakuomba ubonyeze Ads tena kabla ya kupakua.
Mahitaji ya Mfumo
- Android 7.0 au juu
- RAM: 2GB au zaidi
- Nafasi: 200MB+
- Anza na backup kabla ya ku-install
Kidokezo: Mara ya kwanza lazima ukubali kupitia Ads. Baada ya dakika 30, utaitwa tena kupitia ads kabla ya kupakua.
